Huyu ndie Mwanamke Mfupi kuliko wote Duniani

Anaitwa JYOTI AMGE amezaliwa December 16,1993 Nagpur nchini India kwa mujibu wa Limca Book of Records and Guinness Book of Records Jyoti anaurefu wa 62.8 cm sawa sawa na  (2ft 6ins). kwa ufupi huo hakuna mwanamke Duniani anamzidi Jyoti kwa Ufupi...

Embu angalia Picha zake..



ANGALIA VIDEO HII..