Maandalizi ya Opareshini UKUTA hivi ndivyo yanavyo Endelea

Maandalizi ya Opareshini UKUTA...

 Hawa ni wanachama wa CHADEMA wakiwa wanapanga mikakati yao kuhusu Opareshie UKUTA..













Polisi nawao pia wakiwa katika Maandalizi ya kupambana na UKUTA SEPTEMBER 1... 













KILA UPANDE WANASEMA TUKUTANE SEPTEMBER 1 na Muungwana Blog inasema pia Tukutane September 1 kwani nasisi tumejipanga kuwaletea kila kitu kitakacho jiri siku hiyo...


ANGALIA VIDEO HII YA MAANDALIZI YA KILA UPANDE..