NAFASI ZA KAZI KUWA WAKALA WA 4A9..

NAFASI ZA KAZI KUWA WAKALA WA 4A9..

Healing goods Africa trust (HAT)

Tunahitaji mawakala kwenye nchi hizi:

1. NAMIBIA
2. BOSWANA
3. ZIMBABWE
4. MSUMBIJI
5. SUDANI        
6. ANGORA
7. KOMORO
8. SWIZIRENDI
9. UNGUJA
10.  PEMBA

Nafasi za uwakilishi wa 4A9 katika nchi hizo mashashali atakae omba nafasi hizo:
(1) nidham.
(2) kuheshim maelekezo nama agizo kutoka kwa TR MSIGWA.
(3) kuheshim sheria za nchi husika unae fanyia kazi.
(4) kuhakikisha 4A9 inaenea katika nchi husika unako fanyia kazi.
(5) kuhakikisha kila wilaya katika nchi kuwe kuna mtanzania na laniya wa nchi hiyo wakishilikiana kuuza dawa ya 4A9.
(6) Kudumisha uhusiano mwema kwa unaofanyanao kazi.

Mwombaji akitimiza hivyo vigezo baada yamchunguzi kumkaguwa naakagundulika hana kasololo atatangazwa kuwa meneja katika nchi hiyo na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na TR MSIGWA baada yahapo hatakuwa naiyari kuendelea au kuacha kuendelea nakazi  muombaji awe ametekeleza vigezo tunavyo vitaka naawe nauwezo wakuongea lugha zaidi yamoja hatuna haja ya vyeti.

Watu wengi wenye vyeti vizuli lakini wamelifikisha taifa hapatulipo  mtu atalipwa kutokana naufanyaji wake wakazi akifanya kidogo atalipwa kidogo akifanyakazi atalipwa Pakubwa.

SIKU ZA MAPUMZIKO KWA WAFANYA KAZI
kama ni Muisilam siku ya ijuma kuanzia saa 1 asubuh mpaka saa 8 saa 9 mpaka saa 12 jioni atatakiwa kuwa kazini  kama ni Mkrsto atapumzika siku ya juma pili asubuh saa 1 mpaka saa 8 mchana mpaka saa tisa mpaka saa 12.


 Healing goods Africa trust (HAT)
 P. O box 542268 Dar es salaam Email. Doctorymsigwa@gmail.Com

atajoka kazini  kwayule ambae hana dini atachaguwa siku moja katika wiki yakupumnzika kwamasaa 7 waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao katika P.O BOX  54268 DAS ES LAAM  Healing goods Africa trust (HAT)..

kwasasa watakao baitika kupata nafasi hizo wata kwemea nje ya tanzani wakati ukifika tunatangaza nafasiza wawa kilishi wa 4A9.

Kwa mawasiliano zaidi piga  0713-646-691 / 0752-819-047 / 0787-677-215