TANGAZA BIASHARA YAKO NA MUUNGWANA BLOG UPATE KUKUZA BISHARA YAKO

Muungwana Blog inakupa fursa wewe Mfanya Biashara Kuweza kutangaza Biashara yako kwa Bei nafuu na kwa urahisi zaidi.

Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, Muungwana Blog inauwezo mkubwa wa kutangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa, Mikutano, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Apartment. Pia tunapokea matangazo yoyoye isipo kuwa matangazo ya Tiba asili na Sex Toys na Product za Kukuza makalio..

Mahitaji yetu ni Picha za Product yako unazo taka kutangaza ( zisizidi picha 10 ) na maelezo ya Product yako pamoja na Contact zako na Location Ulipo..

Kwa mawasiliano nasi 0719 788 949 - 0789 547 574 Namba zote zinapatikana Whatsapp..