ATCL yatakiwa kutoruhusu viongozi wa serikali kusafiri bure

Rais John Magufuli 

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ameitaka  menejimeti ya ATCL isiruhusu viongozi wa serikali wakasafiri bure.

Ameyasema hayo katika uzinduzi wa ndege mbili za Bombadier Q 400 na kuitaka kuacha kutumia mawakala kukatisha tiketi  na badala yake itumie njia nyingine.