NYUMBA HII INAUZWA.

Nyumba hii ipo Dar es Salaam, Kigamboni - Mvumoni kilometa 16 toka Feri kufuata barabara iendayo Gezaulole. Nyumba ipo katika eneo lililopimwa, kuna hati ya miaka 33 na kiwanja kina ukubwa wa meta za mraba 811. Nyumba ina vyumba vinne vya Kulala, Master Bedroom moja, Jiko, Stoo, Sebule na Dinning. Pia kuna Car Park ndani ya nyumba. Kuna uzio wa ukuta. Nyumba inafikika kwa gari aina yoyote. Kuna umeme na maji ya kisima kilichofungwa pampu ya umeme inayopandisha maji kwenda katika tanki la lita 3000.

Kwa mawasiliano piga simu 0684445442 au 0754723547. Hatuhitaji dalali.

Bei inaanzia Tshs. Milioni mia mbili (200,000,000.) na inapoa baada ya wewe kuiona nyumba yenyewe.