VIDEO: Sababu za Wema Kutoa machozi kwenye suprise ya Team Wema

mwigizaji filamu, Wema Sepetu  alifanyiwa suprise ya nguvu na Team Wema kwenye siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwake lakini ghafla akaanza kutoa machozi, tazama hapa chini ilivyokuwa…