https://monetag.com/?ref_id=TTIb Diamond: Nitaudhihirishia ulimwengu Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii | Muungwana BLOG

Diamond: Nitaudhihirishia ulimwengu Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii

 Diamond Platnumz yupo kwenye mission – ya kuuonesha ulimwengu kuwa Afrika Mashariki si ya mchezo mchezo kwenye muziki.

Akipost picha akifanya rehearsal na dancers wake kwenye ukumbi wa Ticket Pro jijini Johannesburg patakapofanyika tuzo hizo, Diamond ameandika, “Tafadhali sana ndugu zangu naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii.”

Licha ya kutumbuiza, muimbaji huyo anawania kipengele cha muimbaji bora wa kiume wa mwaka katika tuzo hizo.

Diamond na dancers wake wakifanya rehearsal Ijumaa hii kujiandaa na show ya MTV MAMA leo