https://monetag.com/?ref_id=TTIb Namtafuta Baba yangu Anaitwa Jastin Simba | Muungwana BLOG

Namtafuta Baba yangu Anaitwa Jastin Simba

Jastin Simba

Naitwa Emmanual jastin simba namtafuta Baba yangu Mzazi Anaitwa Jastini Simba Yupo Kigoma Mwanga Vamia.. kama unamfahamu Mwambie mimi Mwanae Emmanuel Jastin Simba nipo Dodoma ninamtafuta.. 0769883982

Emmanuel Jastin Simba.