Breaking News: JPM Amtaka Waziri Muhongo Ajiuzuru


Rais wa John Magufuli amtaka Waziri wa Nishati na Madini, Professa Sospiter Muhongo achie nafasi yake.

"Ninampenda sana Professa Muhongo, lakini pia ni rafiki yangu, lakini kwenye hili naomba kajifikirie na haraka sana uachie ngazi"

Rais Magufuli amesema hayo leo alipopokea taarifa ya kamati ya Uchunguzi wa Kontena wa Mchanga wa Dhahabu.

Niwakati wa makabidhiano ya Ripoti ya Kamati Maalum iliyochunguza Mchanga wa Madini  kwa Rais Magufuli.