https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Serikali yashauriwa izuie simu ya Prof Muhongo, Chenge, Tibaijuka | Muungwana BLOG

VIDEO: Serikali yashauriwa izuie simu ya Prof Muhongo, Chenge, Tibaijuka

Jumuiya ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ivitaka vyombo vya dola kuzuia Mawasiliano ya watuhumiwa wa kashfa  wa Escrow.

Akizungumza na Muungwana Blog Rais wa Jumuiya hiyo Abdul Nondo amewataja viongozi hao wa wa Umma  ni pamoja na Professa Anna Tibaijuka , Andrew Chenge , Sospiter Muhongo na wengine wanatakiwa kichunguzwa na kushikiliwa Mawasilino yao kisha kupelekwa Mahakamani kwa vigogo hao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI