Simba Kuna Makinikia - Wazee Simba



Wazee wa Klabu ya Simba wametuhumu uongozi wa Klabu hiyo kikihuumu Klabu hicho na kwamba wamemtaka rais John Magufuli kuingilia kati hujma hizo.

Wakizungumza na Waandishi wa habari leo wazee hao wameeleza kuwa hujuma hizo zinatokana na Uchu wa madaraka na tamaa ya fedha kwa viongozi hao.

Felex Makuwa Mratibu wa wazee hao ameeleza kuwa Serikali kupitia Mamlaka zake iwakamate wahusika na Iwachukulie hatua