VIDEO: Makonda aagiza kuvunjwa Baa na gesti, Dsm

Leo Julai 26, Wakati akijadiliana na Maafisa Elimu wa Wilaya na kata pamoja na walimu wa wakuu wa shule za msingi na sekondari kuhusu changamoto zinazowakabili kiasi cha kusababisha matokeo mabaya katika mitihani ya kitaifa, Moja ya changamoto kubwa ilikuwa ni maeneo ya shule kuvamiwa na majengo ya gesti na baa, ambapo Mkuu wa mkoa wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alilazimika kutoa agizo la kubomolewa majengo hayo ndani ya siku 20. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI