VIDEO: Makonda awatumbua Maofisa elimu 12

Leo Julai 26, Wakati akijadiliana na Maafisa Elimu wa Wilaya na kata pamoja na walimu wa wakuu wa shule za msingi na sekondari kuhusu changamoto zinazowakabili kiasi cha kusababisha matokeo mabaya katika mitihani ya kitaifa, Mkuu wa mkoa wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alilazimika kuwafuta kazi maafisa elimu wa kata 12. 

Hatua hiyo ilifuata baada ya Afisa elimu wa Kata ya Mbagala kushindwa kueleza matumizi matumizi sahihi ya posho laki mbili na nusu wanayopokea na baadaye akafuatiwa na wengine 11

TAZAMA FULL HAPO CHINI...