VIDEO: Mwanafunzi alipukiwa na ''bomu'' Dar


Mwanafunzi wa kidato cha tatu kutoka shule ya Sekondari ya Fly Luis ya Kigamboni amejeruhiwa na ''bomu'' la kutengezwa kwa mkono kwenye maadhimisho ya wiki ya elimu Mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika leo viwanja vya Sabasaba.

Mwanafunzi huyo alijeruhiwa na mlipuko huo alipokua anatoa maelezo ya kifaa ambacho walikitengeneza mfano wa kifaru cha jeshi kinacholipua mabomu, kwa Katibu Tawala Mkoa, Theresia Mmbando hivyo kwa bahati mbaya kililipuka na kumjeruhi na kukimbizwa hospitali ya Temeke kupatiwa matibabu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...... USISAHAU KUSUBSCRIBE