Mtu mmoja amefariki katika mlipuko uliotokea mjini Alexandria nchini Misri

Mtu mmoja ameripotiwa kafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari mojo lililokuwa na vilipuzi kulipuka karibu na msafara kiongozi cha kikosi cha kulinda usalama Misri.Tukio hilo limetokea Jumamosi majira ya mchana. Wizara ya mambo ya ndani ya Misri imefahamisha watu wanne ndio waliofariki katika tukio hilo.

Shambulizi hilo limetokea katika mji ambao ni mji wa pili nchini Misri kwa kuvutia watalii.