https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Abdul Nondo Asafirishwa Iringa, Apandishwa Mahakamani | Muungwana BLOG

VIDEO: Abdul Nondo Asafirishwa Iringa, Apandishwa Mahakamani

Taarifa zilizokuwa zikisambaa asubuhi ya leo kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi TSNP, Abdul Nondo kusafirishwa kwenda Iringa zimethibitishwa na Mwanasheria wa Mtandao huo, Paul Kisabo ambaye amesema tayari Nondo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Iringa Mjini asubuhi ya leo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE