BREAKING NEWS: Masogange amefariki dunia

Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu. Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Muungwana Blog inafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo.