Hispania: Kiongozi wa serikali ajiuzulu kwa tuhuma za kuiba madukani

Kiongozi Mkuu wa mji wa Madrid huko nchini Hispania ametangaza kujiuzulu kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuiba madukani,

Inaelezwa kwamba kiongozi huyo anayejulikana kwa jina la Cristina Cifuentes amekabiliwa na tuhuma hizo, wiki chache baada ya kutuhumiwa kughushi kuwa na Shahada ya Uzamili (Master’s degree).

Watoto wa miaka 14 na 15 waoana kwa idhini ya mahakama ya dini

Kielelezo cha video kinaonesha Cifuentes akichukua na kumpa mlinzi wa supermarket chupa mbili za cream za kupunguza ‘kutokuzeeka kwa ngozi’ mwaka 2011.