VIDEO: INASIKITISHA: Hii ndio kauli Tata ya Dogo janja, msiba wa Masogange

Msanii wa nyimbo za Bongofleva, ambae pia ni mume wa Irene Uwoya, Dogo janja amefanya utani ambao umeonekana kuwakera watu waliomzunguka kutokana na kufanya utani ambao wengi wamekuwa wakiufananisha na utoto na kejeli ambapo alikuwa anaongea huku anacheka hali kuwa marehemu alikuwa jirani yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE....................