VIDEO: MBATIA Aunguruma Bungeni, Ataja Matumizi ya Trilioni 1.5

Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ametoa mchanganuo unaonesha kuwa kiasi cha Trilioni 1.5 ambacho kinatajwa kutoonekana matumizi yake kwenye ripoti ya CAG kuwa kingeweza kugawanywa kwenye kila jimbo la uchaguzi nchi nzima ambapo kila jimbo lingeweza kupata barabara za lami za kilomita nane.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE