VIDEO: "Mfumo kandamizi haki ya kuongea ni kitu cha kwanza kuondolewa" - Fatma Karume


Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume amesema kuwa anafurahia kuwa mwanaharakati na ataendelea kuwa mwanaharakati na kuhakikisha haki inatendeka kwa mujibu wa sheria.

Ameendelea kueleza kuwa kwenye mfumo wowote ambao ni kandamizi, haki ya kuongea ndio kitu cha kwanza kuondolewa, haki ya kuongea ndio msingi wa maendeleo kama binadama na kusisitiza kuwa kuna uwiano kati ya haki ya kuongea na haki ya kukutana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.................USISAHAU KUSUBSCRIBE