Rais wa Sudani Kusini amtaka kiongozi wa upinzani Rieck Mashar kurejea nchini

Rais wa Sudani Kusini amtolea wito  kiongozi wa upinzani Rieck Mashari alieugenini kurejea nyumbani.

Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na msemaji wa chama tawala nchini Sudani Kusini, rais  Salva Kiir Mayardit amtolea wito kiongoni wa upinzani Riech Mashari kurejea mjini Juba.

Msemaji huyo amesema kuwa  wito huo umetolewa ukimtaka kiongozi wa upinzani kushiriki katika  mazungumzo ya muungano yanatarajiwa mwezi ujao mjini Juba.

Rieck Mashari alielekea nchini Afrika Kusini baada ya kupigwa kalamu na rais Salvaki mwaka 2016.