5/16/2018

VIDEO: Ngoma Nzito! Kesi ya MBOWE, Wenzake Yaendeshwa Hadi Usiku


Kesi inayowakabili viongozi  tisa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, akiwemo Mwenyekiti wake pamoja na Sekretarieti ya chama hicho imeendelea leo katika mahakama ya Kisutu huku ikichukua takribani masaa sita kuanzia ilipoanza saa nane mchana hadi ilipoahirishwa saa mbili usiku hadi itakaposomwa tena Juni 16 mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE