Diamond Platnumz, Akon na Rdj Rommy wanusurika Kufa kwa ajali Marekani

Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amenusurika katika ajali ya gari nchini Marekani ambapo upo kwa ajili ya tour ya albamu yake ‘A Boy From Tandale’, Muimbaji huyo amepata ajali hiyo wakati akitokea kwenye show. Kupitia mtandao wa Instagram ameandika;