Rais Magufuli afanya uteuzi wa msajili wa vyama


Rais Magufuli amteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar.