VIDEO: Simba yatangaza kocha mpya, wampa masharti makuu 2 akishindwa anasepa


Leo Julai 19 klabu kongwe ya soka nchini, Simba Sc imemtambulisha rasmi  beki wa zamani wa kimataifa wa Ubelgiji, Patrick Winand J. Aussems kuwa kocha mpya ambae ataiongoza klabu hiyo msimu wa 2018/19.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE