Breaking News: Rais Magufuli afanya uteuzi huu

Rais Magufuli leo August 13 amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi mbalimbali  wa Halmashauri hapa nchini.

Wapo walioenguliwa na wengine wamebadilishiwa vituo vya kazi.