Tazama Orodha ya uteuzi alioufanya Rais Magufuli leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya teuzi mbalimbali siku ya leo na kufanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya, Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Msafiri Simeoni wa Kwimba amepelekwa Chato, Senyi Simon amepelekwa Kwimba

Wafuatao ni baadhi ya walioteuliwa na Rais Magufuli kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Majiji

Halmashauri ya Misenyi Mkurugenzi ni Innocent Mbandwa

Jiji la Mbeya Mkurugenzi ni James Kasusura

Halmashauri ya Malinyi Mkurugenzi ni Mussa Elias Mnyeti

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ni Maulid Madeni

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke ni Lusibilo Mwakabili

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo ni Beatrice Kwai

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigamboni ni Mwilabu Nyabusu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa mkoani Dodoma ni Mustapha Yusuph

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi ni Tatu Seleman Kikwete

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko ni Masumbuko Stephano

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Katavi ni Ramadhan Mohamed

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama ni Mugalane Alphonce

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kyela ni Lucy Mganga

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilombelo ni Eng. Stephan Kaliwa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa ni Asailiwe Lucas

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ukerewe ni Esther Chaula

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru ni Emmanuel Mkongo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Simiyu ni Michael John

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ikungi ni Justice Laurenc