8/10/2018

VIDEO: Mbao FC, Wajidhatiti kurudi kivingene msimu huu, wakabidhiwa Jezi Mpya


Timu ya Mbao ambayo msimu uliopita ilisua sua kwenye mchezo kwa kupoteza mechi nyingi za nje, imejidhatiti msimu huu kurudisha hadhi ya timu ya kwa kudhizibiti timu 19 za nchi ili ubora wa mbao uone kane tena.

Vile Vile wadhamini wa timu hiyo GF TRUCKS wameikabidhi timu hiyo jezi mpya za msimu huu ambazo watazitumia wakiwa na mechi za ndani na nje ili kuongeza ari ya utendaji kazi katika mchezo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................