Anthony Joshua amtwanga Alexander Povektin kwa TKO

Anthony Joshua amchakaza vibaya mrusi Alexander Povektin kwa TKO raund ya 7 katika uwanja wa Wembley nchini Uwingereza.

Anthony Joshua mpaka sasa amepigana mapambano 22 na hajapoteza pambano hatamoja yote ameshinda.

Anthony Joshua anaendelea kushikilia mataji ya  WBO, WBA na IBF