Chemical awataka Wanaume wakachukue mashati


Msanii wa hapa nchini Rappa Chemical amewataka Wanaume wakachukue mashati kwake kutokana na wengi kudai kuwa anapendelea kuavaa nguo za kiume kuliko za kike na huku wengi wakidai kuwa anapendeza zaidi akivaa kama msichana.

Kupitia ukurasa wa instagram, Chemical amesema kuwa anaanza kuvaa kama mdada kutokana na wengi kumuambia kuwa anapendeza zaidi akivaa kidada kuliko kama mwanaume.

“Haya #WANAUME njooni mchukue mashati yenu nataka nianze kua #SISTADU sasa 😂😂😂nimeambiwa nikiwa SISTADU napendeza mno”