VIDEO: Angalia zoezi la kukigeuza kivuko cha Mv Nyerere linavyoendelea


Leo Septemba 24 kutoka eneo la Ukara mahali kilipozama Kivuko cha Mv. Nyerere juhudi zinaendelea za kukiinua Kivuko hicho kutoka kwenye maji klichokuwa kinachofanya safari zake Bugorola na Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, ambapo kilipata ajali kuuwa watu zaidi ya 200

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE