.

9/14/2018

VIDEO: Inasikitisha hali ya huyu mtoto anasa kwenye Umeme, Rais Magufuli, Makonda watajwa


Ni mtoto wa miaka sita aliyekuwa akicheza na wenzake akashika bomba linalowekewa antena ya Tv ambalo lilikuwa na shoti ya umeme ambapo alinasa na kupelekea mtoto huyo kuwa mlemavu. Kitendo hicho kilimuinua bibi wa mtoto huyo ambaye mama yake amefariki kupaza sauti na kuomba msaada kwa Rais Magufuli na Watanzania kwa ujumla.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE