VIDEO: INASIKITISHA: Mwanzo mwisho Soudy Brown, Shaffii na Mx walivyofikisha Mahakamani kininja


Wamilikiwa wa blog akiwemo shafii Dauda na wenzake   wameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu. hao wanatuhimiwa kwa kosa la kuendesha blogs bila kuwa na kibali kutoka TCRA

Licha ya Kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 8 mwezi wa kumi,washtakiwa hao walikataa tuhuma hizo za kumiliki blog bila kuwa na kibali.

Kwa upande wake Mtangazji wa Shilawadu, SoudyBrown amesomewa shtaka moja la kuweka maudhui mtandaoni bila kuwa na kibali.  Dhamana ya kosa hilo iko wazi lakini anadaiwa bado anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuwa ana kesi nyingine ya kujibu. 


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE.......