.

9/14/2018

VIDEO: Kanye West aendelea kumpigia magoti Drake, amfanyia tukio zito


Baada ya siku chache zilizopita Kanye West kumuomba msamaha Drake kuhusiana na bifu ya Pusha T, bado ameendelea kuonesha kuwa anataka wamalize bifu lao Drizzy hajamjibu chochote. Kanye West ameachia clip ya video ya mtoto wake North akiimba ngoma ya 'In My Feelings' ya Drake.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE