VIDEO: MBOWE KAMPENI UKONGA: "Tutatoka na utumbo wa mtu/ awatimua polisi uwanjani


Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amehudhuria katika kufunga kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Ukonga ambapo cha hiko kimemteuwa Asia Msangi kuwania Ubunge akichuana na Mwita Waitara wa CCM. Katika mkutano huo Mbowe amemkosoa Rais John Magufuli kutokana na uongozi wake, pia ameahidi kuwa watatoa utumbo endapo uchaguzi huo ambao utafanyika Septemba 16, 2018 hautakuwa wa haki.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE