VIDEO: Ngome ya Maalim Seif kutikisika? ''Baadhi ya wabunge waomba kujiunga kwa Lipumba"


Baadhi ya Wabunge waliokuwa upande wa Maalim Seif wameuomba uongozi wa upande wa CUF taasisi kukaa chini na kumaliza mgogoro uliopo baina yao. Kauli hiyo imebainishwa na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CUF alipofanya mahojiano na Muungwana TV.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE