.

9/14/2018

VIDEO: Polisi kusambazwa vituo vya Uchaguzi Dar, Masanduku ya kura kulindwa mwanzo mwisho


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi wa marudio jimbo la Ukonga na kata ya Vingunguti ili kumchagua kiongozi anayewafaa kwani ulinzi utaimarishwa na hakuna atakeae ingilia matoke hayo huku masanduku ya kura  yakilindwa na kusindikizwa kwenye kituo kikuu cha majumuisho Anatogro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI .........USISAHAU KUSUBSCRIBE