VIDEO: Simulizi ya kusikitisha ajali Mv Nyerere "Nilikuwa nimelala lakini huyu ndiye aliyeniokoa"


Mmoja wa manusura wa ajali iliyokea Septemba 20 ya kivuko cha Mv Nyerere kinachofanya safari zake Bugorola na Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Clifford Mbowa ameeleza simulizi jinsi alivyonusurika kifo huku akisema alikuwa amelala ajabu akasikia kelele na kupelekea kuamka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE