VIDEO: TCRA yawacharukia watumia mitandao, Soudy Brown, Shaffiih Dauda waonyeshwa mfano


Kaimu Mkurugenzi wa Sheria na Kaimu Katibu wa Bodi ya TCRA, Joannes Karungura ametoa onyo kali kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii na wamiliki wa Blogs na YouTube ambao wanaendelea kuweka maudhui bila ya kupewa leseni kutoka TCRA. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE