.

9/14/2018

WAWEZA KABISA KUWA DAKTARI

St.david college of health kimara temboni, chuo pekee tanzania kinacho kupa fursa ya ndoto yako ya kuwa daktari bingwa.

SIFA:
Uwe na ufaulu wa PCB

Physics
Chemistry
Bology.......angalau kwa alama D tu..

Mfumo umebadilika wa kudahili wanafunzi, sasa omba chuoni moja kwa moja badala ya kwenda nacte.

Pia ufaulu wa hesabu na kiingereza ni sifa ya ziada /nyongeza sio ya lazima.

Ada ni nafuu mno na pia waweza soma kwa uwezo wa shughuli zako.

wasiliana nasi Namba za mawasiliano
0654 354949
0716044610
0718229977
0652 454847