Albamu ya Migosi ipo mbioni

Kundi la Migos limeweka wazi kuwa albamu yao ipo mbioni kutoka.

 Hii baada ya maswali mengi juu ya ujio wa album  hiyo inayokwenda kwa jina la Culture III ambapo sasa itatoka mwaka 2019 kwa mujibu wa mahojiano na Associated Press.

"We'll be at the top of 2019. We're going to hit them with Culture III" alisema Quavo na kutupasha kuwa kwenye muendelezo wa kuachia album binafsi, atakayefuata ni Takeoff na Offset atamaliza.