Kauli ya RC Makonda kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba wakazi wa Dar es Salaam kutulia wakati huu kuhusu kutekwa mfanyabiashara na mwekezaji katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwani jeshi la polisi tayari limeshaanza uchunguzi na limebaini watekaji ni Wazungu raia wa nchi za nje.