Kikosi cha Simba SC dhidi ya Stendi United Leo


Kikosi cha timu ya Simba ambacho kitaanza leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Stand United, Jumapili Oktoba 21, 2018, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 10:00 Jioni, hiki hapa.