Kocha wa Chelsea anusurika kupigwa na Mourinho


Mchezo wa Ligi Kuu ya England uliochezwa leo Oktoba 20 baina ya Manchester United na Chelsea ulimemalizika kwa sare ya 2-2 katika uwanja wa Stamford Bridge mjini London.

Katika mchezo huo Mourinho alikasirishwa na kitendo cha mmoja wa makocha wasaidizi wa Chelsea,ambaye  alikwenda kushangilia mbele yake baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha dakika ya mwisho.

Kitendo hicho kilipelekea kocha huo kuchukizwa na kutaka kwenda kugombana nae lakini alidhibitiwa