10/11/2018

VIDEO: Harmonize Aikoa Ndanda, Mwenyewe Afunguka Kuwapa Milioni Tatu


Msanii Harmonize ametimiza Ahadi yake na tayari ameichangia Klabu ya NdandaFc Tsh.Million Tatu na laki tano.

Ni baada ya timu hiyo kushindwa kuondoka Singida kurudi Mtwara kwa kukosa fedha ya Usafiri huku wakidaiwa Zaidi ya Tsh.Million tatu ya chakula na Malazi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE