VIDEO: Mbunge CUF akumbuka kauli ya Magufuli'' Alinipongeza kwa kuunga mkono bajeti''


Mbunge wa Mtwara mjini kupitia tiketi ya CUF, Maftaha Nachuma ameeleza sababu iliyopelekea kuhusishwa kuhamia CCM, ambapo ni kutokana na kitendo chake cha kuunga mkono bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 hivyo kupelekea Rais Magufuli kumpongeza kwa jambo hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE