https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: "Rais amesema hatishwi, tumeamua kukaa pembani kuliko kuona watu wetu wanauawa'' | Muungwana BLOG

VIDEO: "Rais amesema hatishwi, tumeamua kukaa pembani kuliko kuona watu wetu wanauawa''


Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Elimu, amefunguka kuhusiana na chaguzi zinazoendelea nchini pia hali ya kisiasa na kusema kuwa, kutokana na kauli ya Rais Magufuli kwamba hatishiki, wao kama chama kikuu cha upinzani nchini wameamua kujiondoa kwenye chaguzi hizo ili mashirika ya kimataifa yaweze kuona kama kuna tatizo la kisisasa nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE