VIDEO: ''Rais Magufuli azidi kuwa mkali, wapinzani wasichukulie kutekwa kwa Mo Dewji kuichafua Serikali''


Mwanaharakati Cyprian Musiba amejitokeza mbele ya wanahabari na kumuomba Rais Magufuli aendelee kusimamia sheria za nchi ili iendelee kuwa imara kiuchumi, kwani yeye ndio mwenye mamlaka ya kuhakikisha nchi inakua salama kwa kila sekta.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE